Posts

Showing posts from April, 2022

Tibu changamoto za maumivu ya viungo kupitia tiba lishe.

Maambukizi kwenye njia ya uzazi au kwa kifupi PID, ni mambukizi ya bacteria yanayoathiri sana wanawake kwenye mfumo wa uzazi. Na kuweza kuleta athari katika sehemu zozote kwenye njia ya uzazi. Moja ya athari za PID  ambayo wanawake hupata ni kutoweza kushika mimba yaani ugumba Tafiti zinasema kati ya wanawake nane waliowahi kuugua PID basi mmoja wao atakutana na shida kupata mimba kwa siku za hapo baadae. Huku wale wanaofanikiwa kupata ujauzito basi hupata matatizo pia ikiwemo mimba kuharibika au kujifungua kabla ya wakati Nini kinasababisha PID? Wataalamu wa afya wanaamini kwamba magonjwa ya zinaa ambayo hayakutibiwa ipasavyo hasahasa gonorrhea na chlamydia yanaongoza kwa kusababisha PID. Japo kuna baadhi ya wanawake wanaugua PID pasipo magonjwa ya zibnaa. Pengine kutokana na maambukizi ya kawaida ya bacteria(bacteria vaginosis Nini Maana Ya Pelvic Inflam AtI PID kwenye kiz Maana halisi ya PID ni hali ya kututumka au kucharuka kwa sehemu ya njia ya uzazi kwa mwanamke kunakosababishwa

Matumizi ya tiba lishe katika kutibu magonjwa

  Matumizi ya tiba lishe kutoka KAMPUNI ya BF SUMA ni dawa nzuri sizizo na kemikali na zinatibu vizuri magonjwa bila hata ya upasuaji kwa sababu zimetengenezwa kwa Aina tofauti za mboga mboga pamoja na matunda tunashauriwa kutumia dawa hizi tuepukane na magonjwa Kama Kansa yanayo sababishwa na matumizi mengi ya kemikali katika miili yetu.