Tibu changamoto za maumivu ya viungo kupitia tiba lishe.
Maambukizi kwenye njia ya uzazi au kwa kifupi PID, ni mambukizi ya bacteria yanayoathiri sana wanawake kwenye mfumo wa uzazi. Na kuweza kuleta athari katika sehemu zozote kwenye njia ya uzazi. Moja ya athari za PID ambayo wanawake hupata ni kutoweza kushika mimba yaani ugumba Tafiti zinasema kati ya wanawake nane waliowahi kuugua PID basi mmoja wao atakutana na shida kupata mimba kwa siku za hapo baadae. Huku wale wanaofanikiwa kupata ujauzito basi hupata matatizo pia ikiwemo mimba kuharibika au kujifungua kabla ya wakati Nini kinasababisha PID? Wataalamu wa afya wanaamini kwamba magonjwa ya zinaa ambayo hayakutibiwa ipasavyo hasahasa gonorrhea na chlamydia yanaongoza kwa kusababisha PID. Japo kuna baadhi ya wanawake wanaugua PID pasipo magonjwa ya zibnaa. Pengine kutokana na maambukizi ya kawaida ya bacteria(bacteria vaginosis Nini Maana Ya Pelvic Inflam AtI PID kwenye kiz Maana halisi ya PID ni hali ya kututumka au kucharuka kwa sehemu ya njia ya uzazi kwa mwanamke kunakosababishwa