MWENYE CHANGAMOTO YEYOTE YA INI KARIBUNI SANA UTASAIDIWA NA KUPONA KABISA

UGONJWA WA VIRUSI VYA HOMA YA INI HUJA NA DALILI MBALIMBALI…..
   
Dalili Za Muda Mfupi (Acute Hepatitis)
   
➡️ Dalili Hizi Za Mwanzo Hutokea Ndani Ya Miezi 6 Baada Kuambukizwa Virusi Vya Homa Ya Ini, Hutokea Kwa Baadhi Ya Watu Hazitokei Kwa Kila Mtu.
Mgonjwa Mwenye Maambukizi Ya Virusi Vya Homa Ya Ini Hujiskia Kuumwa

* Hupoteza hamu ya kula
* Kichefuchefu na kutapika
* Mwili kuumaMkojo kuwa na rangi iliyokolea kama Coca-Cola
* Kupata manjano kwenye macho, vinganja vya mikono/kucha au mwili      mzima.
 
Kwa mawasiliano
☎️0748661331 au what'ssap 0629171256
Dawa zinakufikia mahali popote Kama upo Tanzania 

Comments

Popular posts from this blog

MATUMIZI YA TIBA LISHE

MWANAMKE UNAWEZAJE KUTENGENEZA MUONEKANO

Matumizi ya tiba lishe katika kutibu magonjwa