TIBU SASA TATIZO LA FIGO

DALILI ZA UGONJWA WA FIGO
.
1. UCHOVU - Kuwa Mchovu Wakati Wote
Figo Hutengeneza Homoni Inayoitwa Erythropoietin (EPO) Inayouambia Mwili Wako Utengeneze Chembe Nyekundu Za Damu Zinazobeba Oksijeni. Figo Zinaposhindwa Hupelekea EPO Kuwa Kidogo. Kwa Kuwa Na Chembe Nyekundu Chache
Za Damu Kubeba Oksijeni, Misuli Na bongo Huchoka Haraka.
.
.
2. KUHISI BARIDI - Wakati Wengine Ni Joto
Anemia Inaweza Kukufanya Uhisi Baridi Wakati Wote, Hata Kwenye Chumba Chenye Joto.
.
.
3. TATIZO LA KUPUMUA - Hata Baada Ya Jitihada Kubwa Kukosa Pumzi Kunaweza Kuhusishwa Na Figo Kwa Njia Mbili. Kwanza, Maji Ya Ziada Katika Mwili Yanaweza Kujilimbikiza Kwenye Mapafu. Na Pili, Upungufu Wa Damu (Upungufu Wa Chembe Nyekundu Za Damu Zinazobeba Oksijeni) Unaweza
Kuuacha Mwili Wako Ukiwa Na Njaa Ya Oksijeni Na Kukosa Pumzi.
.
.
4. KUHISI KUZIMIA, KIZUNGUZUNGU, AU DHAIFU
Anemia Inayohusiana Na Kushindwa Kwa Figo Inamaanisha Kuwa bongo Haupati Oksijeni Ya Kutosha. Hi Husababisha Kizunguzungu, Kuzimia Na Udhaifu Wa Mwili.
.
.
5. SHIDA YA KUFIKIRI VIZURI
Ubongo Usipopata Oksijeni Ya Kutosha Kutokana Na Kushindwa Kwa Figo, Uwezo Wa Kufikiri,Kumbukumbu Na Umakini Huathirika Sana.
.
.
6. KUHISI KUWASHWA SANA
Figo Huondoa Uchafu Kutoka Kwa Damu. Figo Zikishindwa,Mkusanyiko Wa Taka Kwenve Damu, Husababisha Muwasho Mkali.
.
.
7. KUVIMBA KWA MIKONO AU MIGUU NA USO Figo
Zinazoharibika Haziondoi Maji Ya Ziada, Ambayo Hujilimbikiza Katika Mwili Wako Na Kusababisha Uvimbe Kwenye Miguu,Vifundoni, Miguu Na/au Mikono Na Uso.
.
.
8. CHAKULA KINA LADHA YA CHUMA
USUMBUFU WA TUMBO, KICHEFUCHEFU, KUTAPIKA.
Mkusanyiko Wa Uchafu Katika Damu (Uremia) Hufanya Ladha Ya Chakula Kuwa Tofauti Na Kusababisha Harufu Mbaya Ya Kinywa. Huondoa Hamu Ya Chakula Na Kusababisha Kupunguza Uzito.
.
.
9. PUMZI YA AMONIA
Mkusanyiko Wa Uchafu Katika Damu (Uremia) Husababisha Harufu Mbaya Ya Kinywa.
.
.
10. MATATIZO KWENYE MKOJO,
KUKOJOA MARA KWA MARA, MKOJO WENYE POVU, HARUFU
KALI, RANGI YA KAWHIA NK
Figo Hufanya Mkojo, Hivyo Wakati Figo Zinashindwa, Mkojo Unaweza Kubadilika. Vipi? Unaweza Kukojoa Mara Nyingi Zaidi,Na Mkojo Uliopauka. Unaweza Kuhisi Shinikizo Au Kuwa Na
Ugumu Wa Kukojoa
.
.
USHAURI NA TIBA
CALL/WHATSAPDALILI ZA UGONJWA WA FIGO

CALL0748661331 /WHATSAP 0629171256

Comments

Popular posts from this blog

MATUMIZI YA TIBA LISHE

MWANAMKE UNAWEZAJE KUTENGENEZA MUONEKANO

Matumizi ya tiba lishe katika kutibu magonjwa