Posts

MATUMIZI YA TIBA LISHE

Image
.  Mtu mwenyewe dalili hizo Ninamsaidia kwa kumpatitia VIRUTUBISHO TIBA au chakula lishe,hiizi ni SUPPLEMENT ambazo 1 .zitamuondolea sumu, chemical na mafuta katika mishipa ya damu na misuli na mwili wake kuwa Safi. 2 .Zitamsaidia kupandisha Kinga ya mwili,ili kumlinda/kumkinga dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasio Ambukiza. 3 . Bidhaa hizi Zitamsaidia kurudisha kumbukumbu na kutunza kumbukumbu na kuponya maradhi ya moyo na mapafu. 4 . Zitamsaidia na kuponya magonjwa yote ya Uzee Kama kuto kuona mbali, maumivu ya Viungo Kama magoti, kiuno, uti wa mgongo, na nyonga. 5 . Zita satasafisha INI nakuliacha salama,zinasaidia kuweka sawa mzunguko wa Damu na kuponya kansa ya Damu,na KUONDOA pressure. 6 .Humsaidia na kumponya mtu mwenye Changamoto ya kisukari au Vimbe Tumboni. KUMBUKA HIVI NI VIRUTUBISHO TIBA,

UNAWEZAJE KUPONA UGONJWA KATIKA MAKUNDI YAFUATAYO.

Ukiwa katika makundi haya jua kuwa upo katika hatari kubwa sana ya kupata maradhi ya INI 1. Watumiaji wa pombe na sigara  2. Walaji wa vyakula vya kusindikwa moja kwa moja 3.Walaji wa vyakula vya mafuta mengi  4. Wazee  5. Wasiofanya mazoezi  7. Wasiokuwa na utaratibu wa kupunguza sumu angalau mara moja kwa kila mwaka  8. Waliotoka kufanyiwa upasuaji (Operation) 9. Wagonjwa wa maradhi ya moyo na mapafu 10. Wagonjwa wa kisukari na presha Chukua hatua sasa ili kuzuia matatizo yanayoweza kushambulia INI na FIGO Kwa msaada zaidi na ushauri wa bure  Wasiliana nasi tafadhali  Piga Simu 0748661331/WhatsApp 0652214107

TIBU SASA TATIZO LA FIGO

DALILI ZA UGONJWA WA FIGO . 1. UCHOVU - Kuwa Mchovu Wakati Wote Figo Hutengeneza Homoni Inayoitwa Erythropoietin (EPO) Inayouambia Mwili Wako Utengeneze Chembe Nyekundu Za Damu Zinazobeba Oksijeni. Figo Zinaposhindwa Hupelekea EPO Kuwa Kidogo. Kwa Kuwa Na Chembe Nyekundu Chache Za Damu Kubeba Oksijeni, Misuli Na bongo Huchoka Haraka. . . 2. KUHISI BARIDI - Wakati Wengine Ni Joto Anemia Inaweza Kukufanya Uhisi Baridi Wakati Wote, Hata Kwenye Chumba Chenye Joto. . . 3. TATIZO LA KUPUMUA - Hata Baada Ya Jitihada Kubwa Kukosa Pumzi Kunaweza Kuhusishwa Na Figo Kwa Njia Mbili. Kwanza, Maji Ya Ziada Katika Mwili Yanaweza Kujilimbikiza Kwenye Mapafu. Na Pili, Upungufu Wa Damu (Upungufu Wa Chembe Nyekundu Za Damu Zinazobeba Oksijeni) Unaweza Kuuacha Mwili Wako Ukiwa Na Njaa Ya Oksijeni Na Kukosa Pumzi. . . 4. KUHISI KUZIMIA, KIZUNGUZUNGU, AU DHAIFU Anemia Inayohusiana Na Kushindwa Kwa Figo Inamaanisha Kuwa bongo Haupati Oksijeni Ya Kutosha. Hi Husababisha Kizunguzungu, Kuzimia Na Udhaifu Wa Mwi

MWANAMKE UNAWEZAJE KUTENGENEZA MUONEKANO

ZIFAHAMU FAIDA ZA FEMINERGY CAPSULES. -FEMINERGY ni kirutubisho lishe kisicho na kiambata chochote za kemikali kwa ajili ya kuupa muonekano mzuri wa ngozi ya mwanamke(mtu mzima na kijana pia). -Imetengenezwa kwa GRAPE SEED EXTRACTS(mbegu za zabibu) ambazo kazi yake kubwa ni kuamsha kasi ya uzalishwaji wa seli za ngozi kwa kuimarisha afya na ukuaji wa ngozi ya mwanamke. *KAZI ZA FEMINERGY. 1)Huondoa makunyazi kwa wanawake na alama nyeusi zinazoachwa na chunusi. 2)Huifanya ngozi ing'ae, iwe na unyevu unyevu na inyooke kama kijana. 3)Hupunguza kasi ya uzee kutokana na seli za mwili kuchoka hivyo huwafaa sana watu wazima na wasichana wanaojali urembo wao. 4)Huponya vidonda vya kawaida na hupunguza alama za makovu yanayotokana na vidonda. 5)Hupunguza athari ya kupata kansa, kisukari na kuchoka kwa kongosho kwasababu ina anti-oxidant ya flavonoids na proanthicynidins. *UREMBO NI ASILI YAKO MWANAMKE WA AFRICA.! Kwa mawasiliano  ☎️0748661331 au what'ssap 0629171256

MWENYE CHANGAMOTO YEYOTE YA INI KARIBUNI SANA UTASAIDIWA NA KUPONA KABISA

UGONJWA WA VIRUSI VYA HOMA YA INI HUJA NA DALILI MBALIMBALI…..     Dalili Za Muda Mfupi (Acute Hepatitis)     ➡️ Dalili Hizi Za Mwanzo Hutokea Ndani Ya Miezi 6 Baada Kuambukizwa Virusi Vya Homa Ya Ini, Hutokea Kwa Baadhi Ya Watu Hazitokei Kwa Kila Mtu. Mgonjwa Mwenye Maambukizi Ya Virusi Vya Homa Ya Ini Hujiskia Kuumwa * Hupoteza hamu ya kula * Kichefuchefu na kutapika * Mwili kuumaMkojo kuwa na rangi iliyokolea kama Coca-Cola * Kupata manjano kwenye macho, vinganja vya mikono/kucha au mwili      mzima.   Kwa mawasiliano ☎️0748661331 au what'ssap 0629171256 Dawa zinakufikia mahali popote Kama upo Tanzania 

ONDOA SUMU MWILINI KUPITIA TIBA LISHE

 *FAIDA ZA KUTUMIA DETOXILIVE* ☑️Huboresha mzunguko wa damu, kuzibua mishipa midogo midogo ya damu, hivyo kusaidia kuondoa changamoto ya presha na dalili zake ☑️Husaidia kunyonya na kuyeyusha mafuta mwilini ☑️Huboresha utendaji kazi wa mishipa ya fahamu na usafirishwaji wa taarifa hivyo kutibu tatizo la kusahau na kupoteza kumbukumbu ☑️Huboresha mishipa ya macho, kuondoa ukungu machoni, na kutibu matatizo ya uoni ( kutibu matatizo ya macho ☑️Hutibu matatizo ya kichwa  kuuma mara kwa mara ☑️Huboresha nguvu za kium ☑️Husaidia kutibu na kuzuia  saratani ya tezi dume ☑️Huboresha muonekano mzur wa ngozi kuzuia kuzeeka kwa ngozi na kuondoa free radical ☑️Kuondoa sumu mwili za aina zote ☑️Kuondoa sumu kwenye ini na figo ☑️Kubalance homon kwa wanawake ☑️Kutibu homa ya iniNi muhimu sana usiache kutumia hii supplements #PIGA ☎️ 0748661331 au WHATSSAP 0629171256

Tibu changamoto za maumivu ya viungo kupitia tiba lishe.

Maambukizi kwenye njia ya uzazi au kwa kifupi PID, ni mambukizi ya bacteria yanayoathiri sana wanawake kwenye mfumo wa uzazi. Na kuweza kuleta athari katika sehemu zozote kwenye njia ya uzazi. Moja ya athari za PID  ambayo wanawake hupata ni kutoweza kushika mimba yaani ugumba Tafiti zinasema kati ya wanawake nane waliowahi kuugua PID basi mmoja wao atakutana na shida kupata mimba kwa siku za hapo baadae. Huku wale wanaofanikiwa kupata ujauzito basi hupata matatizo pia ikiwemo mimba kuharibika au kujifungua kabla ya wakati Nini kinasababisha PID? Wataalamu wa afya wanaamini kwamba magonjwa ya zinaa ambayo hayakutibiwa ipasavyo hasahasa gonorrhea na chlamydia yanaongoza kwa kusababisha PID. Japo kuna baadhi ya wanawake wanaugua PID pasipo magonjwa ya zibnaa. Pengine kutokana na maambukizi ya kawaida ya bacteria(bacteria vaginosis Nini Maana Ya Pelvic Inflam AtI PID kwenye kiz Maana halisi ya PID ni hali ya kututumka au kucharuka kwa sehemu ya njia ya uzazi kwa mwanamke kunakosababishwa